Diplomasia ya Muqawama
        
        IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu , Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq sambamba na kuimarisha  kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al-Hashd al-Shaabi.
                Habari ID: 3480022               Tarehe ya kuchapishwa            : 2025/01/09
            
                        Nasaha
        
        IQNA-Ayatullah Ali Khamenei,  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu , amewaandikia barua wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani ambao wamekuwa katika mstari wa mbele  kutetea wa kijasiri maslahi ya watu wa Palestina.
Hii hapa ni matini ya barua hiyo ya kihistoria.
                Habari ID: 3478914               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/06/01
            
                        Diplomasia ya Kiislamu
        
        IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu , Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Muqawama (mapambano ya Kiislamu) usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu.
                Habari ID: 3478588               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/03/27
            
                        Mapinduzi ya Kiislamu
        
        IQNA-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei,  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  mapema leo amezuru Haram tukufu ya Imam Khomeini (MA) na makaburi ya Mashahidi ya Behesht Zahraa sambamba na kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
                Habari ID: 3478280               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/01/31
            
                        Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
        
        IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  ya Iran amesema kuwa, njama kubwa za maadui ni kuwatoa uwanjani wananchi wa Iran na kwamba Ukanda wa Gaza hivi sasa ni mfano wa wazi na wa kivitendo wa nguvu kubwa za wananchi huku akisisitiza kuwa historia haitasahau jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanawake na watoto Wapalestina.
                Habari ID: 3478174               Tarehe ya kuchapishwa            : 2024/01/09
            
                        Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)-  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  leo Jumatatu ameonana na wananchi wa mikoa miwili ya "Sistan na Baluchistan" na ule wa "Khorasan Kusini" na kusisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwa nia isiyotetereka katika kukakbiliana na adui.
                Habari ID: 3477583               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/09/11
            
                        Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)-  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu  amekutana na Rais wa Kazakhstan na kusema tatizo kuu katika kadhia ya Ukraine ni kuwa, nchi za Magharibi zina mpango wa kupanua muungano wa kijeshi wa NATO.
                Habari ID: 3475400               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/06/20